... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

TAFAKARI YA BURE YA KIELETRONIKI YA NENO LA MUNGU

Je ungependa kuwa na ufikiaji wa moja kwa moja wa FRESH? Ni tafakari ya kila siku ya kieletroniki ya Neno la Mungu ya Dakika 3 itakayokusaidia kupata undani wa Neno la Mungu na kuwa karibu na Yesu Kristo.

Kila tafakari ya Neno la Mungu itakuwa na mstari wa Maandiko wenye nguvu, pamoja na baadhi ya maneno yenye msukumo, matumaini na kutia moyo yanayotolewa kwa njia ya barua pepe kila siku kwenye kisanduku cha kupokelea barua pepe, iwe kwenye simu yako janja, tableti au kompyuta.

Unaweza kusikiliza sauti au kusoma maandishi. Uamuzi bado unabaki kwako.

Hii yote ni kuhakikisha tunakusaidia kusikia kutoka kwa Mungu ili uweze kuishi katika uhusiano mzuri, wenye nguvu pamoja na Yesu Kristo.

Neno la Mungu. FRESH, kwa ajili yako, kila siku.

Utapata baadhi ya tafarakari za hivi karibuni za FRESH chini kidogo kwenye ukurasa … na kisha tafadhali jaza fomu iliyo hapa chini ili kujisajili leo.

 


We use cookies to improve your browsing experience, analyse site traffic & personalise content, but we do not track you when you leave this site. To find out how we utilise & protect your data, check out our "Privacy Policy".

Privacy Policy